TANGAZO KWA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA NA DIPLOMA MNATANGAZIWA KUWA
UDAHILI WA FOMU ZA MKOPO UTAANZA HIVI KARIBUNI HIVYO WAHUSIKA WOTE WA FOMU HIZO ZA MKOPO MNATAKIWA KUHAKIKI VYETI VYA KUZALIWA NA VILE VYA VIFO ENDAPO MZAZI AU WAZAZI WAMEFARIKI HIVYO BASI BAADA YA UHAKIKI MTATUMIWA VYETI VIKIWA NA MUHURI WA RITA AMBAYO NI MOJA SIFA YA MTU ABAYETAKIWA KUJAZA FOMU YA MKOPO NI LAZIMA ATUME FOMU IKIWA NA CHETI CHA KUZALIWA KIKIWA NA MUHURI WA RITA KWA MSAADA PIGA SIMU NAMBA 0659873288